Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Matangazo

TANGAZO LA NAFASI ZA KUWA MJUMBE WA KAMATI ZA WATUMIAJI WA HUDUMA ZA USAFIRI ARDHINI MIKOA (RCC)


Baraza llinatangaza nafasi tano (05) za Wajumbe wa Kamati ya Watumiaji Huduma za Usafiri Ardhini (RCC) katika Mkoa wa Shinyanga ,Geita na Simiyu