Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

LATRA CCC ni Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma Usafiri Ardhini ambapo kazi yake kubwa ni kutetea maslahi ya watumiaji wa Usafiri Ardhini. Kuwaeleza watumiaji kuhusu Haki na Wajibu wa Mtumiaji Usafiri wa Ardhini.

Tunapatikana Posta Mtaa wa Sokoine Drive Jengo la NSSF Water Front ghorofa namba Saba.