Habari
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) limeshiriki katika Mkutano wa 18 wa Pamoja wa Mapitio ya Sekta ya Usafirishaji uliofunguliwa rasmi tarehe 15 Desemba, 2
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) limeshiriki katika Mkutano wa 18 wa Pamoja wa Mapitio ya Sekta ya Usafirishaji uliofunguliwa rasmi tarehe 15 Desemba, 2025 katika Ukumbi wa Kimataifa wa AICC jijini Arusha.

