Mhe. Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Selestine Gervas Kakele, na viongozi wengine wa Jukwaa la Watumiaji Tanzania (TCF), walishiriki katika maadhimisho ya Siku ya Mtumiaji Duniani.