Habari
Elimu kwa Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini katika Maonesho ya Nanenane, Dodoma
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) linaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za usafiri ardhini katika viwanja vya Nzuguni, Dodoma, wakati wa Maonesho ya Nanenane.