Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Habari

Maadhimisho ya kwanza wiki ya usafiri endelevu ardhini


Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) leo limeshiriki katika ufunguzi wa Maonyesho ya Maadhimisho ya kwanza ya  Wiki ya Usafiri endelevu Ardhini  yaliyofunguliwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe David Mwakiposa Kihenzile .