Jukwaa la Wanafunzi
Kifungu Namba 31 (1)(e) kinatoa jukumu kwa Baraza, Kuunda majukwaa kwenye maeneo ya shule/vyuo/taasisi zenye Watumiaji wa huduma za usafiri wa Sekta zinazodhibitiwa na Kushauriana nazo.
Jukumu hili, lilitekelezwa kwa kufungua Jukwaa la UNIFORUM – UDSM. Baraza linaendelea kufungua jukwaa kama hili kwenye Shule/ Vyuo/ na taasisi mbalimbali lengo likiwa ni kufikisha Huduma zaidi kwa Jamii (wadau wote).