Dira na Dhamira
Dira ya Baraza
Ni kuwa Baraza bora kikanda katika kuwezesha na kulinda maslahi ya watumiaji wa huduma za usafiri Ardhini.
Dhamira
Ni kukuza na kulinda maslahi ya watumiaji ili kupata uwakilishi na mwitikio mpana kwa mdhibiti, watunga sera na mtoa huduma ya usafiri Adhini.