Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Habari

Dai tiketi, ni haki yako


Kama umelipa nauli halali na hukupewa tiketi mwambie dereva au kondakta na uombe upatiwe tiketi yako mara moja. Ni muhimu kudai tiketi yako kwa sababu ni ushahidi wa malipo na haki yako kama abiria.