Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Habari

Maonesho ya 48 ya biashara ya kimataifa maarufu Sabasaba


Dkt.Augustus Fungo, Kaimu Mwenyekiti wa LATRA CCC,aliungana na Sekretarieti ya Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere , Dar es Salaam.