Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Habari

Maonesho ya 48 ya biashara ya kimataifa maarufu Sabasaba


Bw.Leo Ngowi ,Meneja Leseni - LATRA,alitembelea banda la LATRA CCC katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere , Dar es Salaam.  Maonyesho hayo yalianza Juni 28 na yatafika tamati Julai 13 , 2024.