Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini

Habari

Maonesho ya 48 ya biashara ya kimataifa maarufu Sabasaba


Mkurugenzi Mkuu LATRA ,CPA Habibu J. Suluo ametembelea banda la Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) na kushuhudia jinsi Baraza hilo linavyotekeleza majukumu yake katika maonesho ya 48 ya kibiashara ya kimataifa maarufu Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere (DITF) - Dar es Salaam.