Habari
Asante Wajumbe wa kamati za Mikoa (RCC's)
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) linawashukuru na kuwapongeza Wajumbe wa Kamati za Mikoa (RCC's) kwa kushiriki Mkutano wa kuwajengea Uwezo uliofanyika Mkoani Morogoro katika Ukumbi wa Mbaraka Mwinshehe.