Habari
Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini(LATRA CCC) limeendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu Haki na Wajibu wa Mtumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini katika maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni - Dodoma.